Wanafunzi wa Darasa la Tano walifanya somo la Sayansi kwa njia ya vitendo wakijifunza kuhusu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kupitia uchunguzi wa kuku. Shughuli hii iliwapa fursa ya kuona kwa uhalisia sehemu mbalimbali za mfumo wa mmeng’enyo na kuelewa kaz
Mwili wenye afya huzaa akili timamu. Siku maalum ya michezo ambapo mwalimu na mwanafunzi tunabadilisha darasa na kuhamia uwanjani! Kuanzia soka la kusisimua, mbio za kasi, hadi kuruka kamba kwa nguvu zote. Afya ni mtaji, michezo ni furaha!