Hours : Mon To Fri - 08AM - 06PM, Sunday Closed

News

Event Image

UMAKINI DARASANI

Elimu ndiyo msingi wa mafanikio ya kesho. Kuona mwanga wa ndoto zao ukiwaka hapa hapa madarasani ni ushahidi tosha kwamba safari yetu inaelekea kwenye mafanikio makubwa. Kila siku ni nafasi mpya ya kujifunza na kukua!

Recent News