Hours : Mon To Fri - 08AM - 06PM, Sunday Closed

News

Event Image

WANAFUNZI WASHIRIKI MICHEZO KWA PAMOJA.

Mwili wenye afya huzaa akili timamu,siku maalumu ya michezo ambapo waalimu na wanafunzi wanahamia uwanjani.kuanzia soka la kusisimua,kukimbia,mpira wa miguu,kuruka kamba pamoja na michezo mbalimbali. #afya ni mtaji #michezo ni furaha

Recent News