TAARIFA YA KUFUNGA SHULE
???? TAARIFA YA KUFUNGA SHULE
Wazazi/Walezi wapendwa,
Tunawataarifu kuwa shule itafungwa kwa mapumziko ya likizo kwa kipindi cha:
???? Tarehe ya Kufunga: 04/09/2026
???? Tarehe ya Kufungua: 14/09/2026
???? Wakati wa likizo:
Tunawaomba wazazi/walezi wawasimamie na kuwaongoza watoto vyema kufanya Holiday Package walizopewa shuleni ili kuhakikisha wanatumia muda wao wa likizo vizuri na kuendelea kujifunza.
???? Siku ya Kufungua Shule:
Mzazi/mlezi anahakikishe anakuja na mwanae akiwa nadhifu, msafi na amevaa sare kamili za shule.
Tunawatakia wazazi/walezi na wanafunzi wetu likizo njema, yenye amani, furaha na mafanikio.
???? OOLA PRE & PRIMARY SCHOOL
Elimu Bora kwa Mustakabali Mwema